Nafasi Ya Matangazo

May 26, 2011

huo cha Ualimu cha Kisanga kilichopo Wazo Hill jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki iliyopita kilifanya mahafari ya kwanza tangu kuanzishwa kwa chuo hicho Agusti 5 ,2009 ambapo kilianza na mwanafunzi mmoja aitwaye Neema Lyatuu aliyesoma kwa muda wa wiki mbili bila ya kuwa na wanafunzi wengine mpaka sasa kina wanachuo 190 ambao wanachukua kozi mbalimbali ikiwemo kozi ya Ualimu ,Ualimu daraja la Tatu,na elimu ya makuzi na malezi ya Watoto (ECE) Early Childhood Development Education. pichani nialiyekuwa mgeni rasmi katika mahafari hayo Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Bernard Makali akimtunuku cheti maalumu Neema Lyatuu, kwa kuwa mwanafunzi wa kwanza mwanzilishi wa Chuo cha Kisanga.
 Wanakwa ya wa Chuo cha Kisanga wakiimba wakati walipokuwa wakiwanga wenzao  katika Mahafali ya kwanza ya Chuo Hicho.
 Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Kisanga Abduly Kiriwe, akiwahutubia wanafunzi hawapo pichani wakati wa Mahafari ya kwanza ya chuo hicho (kulia) Mkuu wa Chuo hicho Seleimani Kaita akimsikiliza kwa makini Chuo hicho kilianzishwa mwaka 2009 kina jumla ya wanafunzi 190 na mwaka huu wa kwanza wamehitimu 59.
Baadhi ya wahitimu  wa stashahada ya Ualimu katika chuo cha Kisanga.

Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Ualimu cha Kisanga kilichopo Wazohill Tegeta jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimu Kozi ya Ualimu ngazi ya Stashahada hivi karibuni.Jumla ya wahitimu 59 walitunukiwa vyeti. 
Posted by MROKI On Thursday, May 26, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo