Barabara inayounganisha Vitongoji vya Vitonga, Kinyenze na Lugono kwenda katika Kijiji cha Kipera ikiwa katika hali mbaya ya mashimo na inahitaji kuchongwa kwa kiwango cha Changarawe.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipera iliyopo Wilayani Mvomero mkoa wa Morogoro wakitembea kwa mguu kurudi nyumbani. Iwapo barabara ya hiyo ingekuwa imechongwa magari yangekuwa yanapita na kuwasaidiaa watoto hawa.




0 comments:
Post a Comment