Nafasi Ya Matangazo

May 07, 2011

 Bi Harusi mtarajiwa Wine Banda akiwa salon wakati wa  maandalizi ya Send of Part yake .
 Bibi harusi mtarajiwa Wine Banda akikata keki wakati wa sherehe ya Sedd of Part yake iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Massea Kawe, kushoto ni mpambe wake Enes Nyutoni akimsaidia.
 
Wine Emmanuel Banda akiwa katika pozi la picha na matroni wake Enes Nyuton wakati wa sherehe ya kumuaga( Send of Part) iliyofanyika katika ukumbi wa Massea Kawe jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Saturday, May 07, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo