Nafasi Ya Matangazo

May 30, 2011


ilizoambatanishwa za Nfg,Fredric Mwakalebela akiwa na familia yake Mama mzazi Erica Mwakalebela,Mke wake icelina Mwakalebela,Watoto Vannesa na wilfredy akifanya tukio la utoaji jana Jumapili tarehe 30 May 2011baada ya kutembelea kwenye ward ya Watoto wenye matatizo ya Saratani-Muhimbili.

Kujitolea ni moyo unaotakiwa kujengwa kuanzia Ngazi ya familia. Wasalaam  Emmanuel Image Profession.

Posted by MROKI On Monday, May 30, 2011 1 comment

1 comment:

  1. ZeroBrainMay 31, 2011

    Kaka ushauri wa bure tu kwa Mwakalebela na wala usiubanie kwa sababu ni kwa manufaa ya afya yake mwenyewe na hao watoto wa saratani pia.

    Kwake- ajitahidi kufanya mazoezi unene huo kwa afya yake sio mzuri anakuwa kama hakuwa kwenye MICHEZO bana. Ona anavyosweti shati lote juu limeloa.

    Pili kwa hao watoto wa Saratani. sasa kashasikia wanaumwa saratani halafu anazidi kuwapelekea hayo maKEMIKO ya nini badala ya kuwapelekea matunda? Si yatawazidishia masaratani hayo makemiko jamani?

    Mweeh!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo