Mchungaji wa Kanisa la Mtakatifu Johnson la Mwananyamala jijini Dar es Salaam,Elias Maguu akimpa sakaramenti ya Kimaimara kwa kumuwekea mkono kichwani Timoth Albert wakati wa ibada ya Kipaimala iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam
Timoth Albert akinyweshwa Shampeni na mpambe wake Charles Kamaleki wakati wa sherehe ya Kipaimara iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Johnson jijini Dar es Salaam.
Baba mzazi wa Timoth Albert ,Albert Mkomba akimvisha taji la mwanae baada ya kupata sakaramenti ya Kipaimara katika Kanisa la Mtakatifu Johnson Mwananyamala jijini Dar es Salaam,(kushoto) mama yake Elice Mkomba.tafrija ilifanyika katika ukumbi wa Gadern Mwananyamala.
0 comments:
Post a Comment