Golden Moment ya dereva Tax huyu ni pale alipokutana na mratibu wa Serengeti Fiesta Soka Bonanza 2011,Shafii Dauda na kumpa kibeji cha Man U atie saini yake kama uonavyo pichani.
Man u wakitamba barabarani.
Maahabikki wa Asenal
Hili chama langu Barcelona
Mashabiki wa vilabu mbalimbali za nje,wa jijini mwanza wakiwa wameandamana mapema asubuhi kwenye mchakato mzima wa kuelekea uwanja wa CCM Kirumba,ambapo ule msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti ikiendelea kurindima,ambao msimu huo umeanzia jijini Dar na sasa ndani ya jiji la Mwanza leo.
0 comments:
Post a Comment