Nafasi Ya Matangazo

April 28, 2011

LINO INTERNATIONAL AGENCY LIMITED
P.O. BOX. 53069 DAR ES SALAAM, TELEFAX :+255 22 2120201,
SAMORA AVENUE AND MKWEPU, MOBILE: +255 753 764156, DAR ES SALAAM.
Email: linotz2000@yahoo.co.uk misstanzania@email.com ,http://www.misstanzania.net/

REF: ILA/ PR.10/VOL.2/68 27 April 2011

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

YAH: SEMINA YA MAWAKALA WA MASHINDANO YA UREMBO YA MISS TANZANIA 2011.

Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo huu,
Semina ya Mawakala wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2011 itafanyika tarehe 29 na 30 April 2011 katika hotel ya Paradise City iliyopo Posta jijini D’salaam.

Semina hii itahusisha Mawakala wote wa Mikoa, na Kanda wanaoandaa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania.

Katika semina hiyo ambayo pia itakuwa ni Mkutano wa mwaka wa Waandaaji wa Miss Tanzania katika ngazi za Mikoa na Kanda, mambo kadhaa yatazungumzwa ikiwemo, kukumbushana Kanuni, Sheria na Taratibu za Mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, maadili na miiko ya uongozi, na uendeshaji wa mashindano.

Pia Changamoto mbalimbali zinazokabili mashindano ya urembo zitajadiliwa.
Mada mbalimbali zitatolewa na Wataalamu kutoka katika Fani ya urembo na Taasisi mbalimbali.
Orodha ya Mawakala imeambatanishwa.

HASHIM LUNDENGA.
MKURUGENZI.


1. MAWAKALA WA MIKOA:

1. ARUSHA MALKIA PROMOTIONS
SAIDA KESSY
P.O.BOX. 2319
ARUSHA

2. DODOMA HEDEP ENTERPRISES
DORASIA KAYOMBO
P.O.BOX 2159
DODOMA

3. IRINGA BIG TIME HIGHLAND
DOSSI MAGAMBO
P.O.BOX 70270
DAR ES SALAAM

4. KIGOMA
SAMINA ARTS PRODUCTION
JUMANNE GANGE
P.O.BOX 728
KIGOMA

5. KAGERA
ANGEL’S ENTERTAINMENT
JOSEPH RWEBANGIRA



6. KILIMANJARO EDGE ENTERTAINMENT
JACQUELINE B. CHUWA
P.O. BOX. 61800
DAR ES SALAAM

7. LINDI ALLIANCE ENTERTAINMENT
SHAH RAMADHANI
P.O.BOX 154
LINDI

8. MBEYA BOMBA FM
FANUERI NDONDE
P.O. BOX
MBEYA

9. MOROGORO
F.G ARTS PROMOTIONS & ENTERTAINMENT
FRANK EZECKIEL
BOX. 38519 DSM
MOROGORO


10. MARA
HOMELAND ENTERTAIMENT P.O.BOX. 1109 MARA
GODSOS MUKAMA

11. MTWARA BIG SOLUTION
RAJAB MCHATTA
P.O. BOX. 10932 DSM

12. MWANZA
SISI ENTERTAINMENT
JOHN DOTTO

13. MANYARA MERERANI ENTERTAINMENT
AZIZA MSENGEZI
P. O. BOX 167
MANYARA

14. PWANI TANZANIA YOUTH ARISE CO. LTD
BAHATI MWAKALINGA
P . O. BOX 30124
KIBAHA - PWANI

15. RUVUMA COTN PROMOTION & ENTERTAINMENT
WENDY LUPEMBE

16. RUKWA FANTASTIC ENTERTAINMENT
MARIAM AMIRY
P.O. BOX. 31
MPANDA

17. SHINYANGA ASELA PROMOTIONS
ASELA MAGAKA
P.O.BOX 827
KAHAMA

18. SINGIDA AUNT BORA SALON
AUNT BORA LEMI
P.O.BOX 904
SINGIDA


19. TANGA
NEW FACE ENTERTAINMENT
MAXIMILLIAN J. LUHANGA

20. TABORA CLUB ROYAL ENTERTAINMENT
MGALULA FUNDIKIRA
P.O.BOX 390
TABORA

21. NJOMBE SEKILUFI TRADING AGENCY
SYLVIA MWAKILUFI
P.O.BOX
NJOMBE

22. GEITA RED ROSE & GENERAL SUPPLY LTD
ROSE PERFECT
P.O. BOX. 62
GEITA.

2. MAWAKALA WA KANDA:


1. KANDA YA MASHARIKI
LINDI OCEANIC VIEW HOTEL
JONES FUSSI

2. KANDA YA ZIWA TAN-PROMOTION
WINSTON MWASA MBILI
P.O.BOX 2462
MWANZA

3. KANDA NYANDA ZA
JUU KUSINI. TASHA ENTERTAINMENT
TASHA JIM
P.O. BOX. 75850
DAR ES SALAAM

4. KANDA YA KATI SAKIS BAND
SALOME KIWAYA
P.O.BOX 2159
DODOMA

5. KANDA KASKAZINI JAZZ PROMOTION
EMMA MROSSO
P . O . BOX 1449
ARUSHA

6. KANDA KINONDONI
BOY GEORGE PROMOTIONS
YUSUPH GEORGE
P.O.BOX 22548
DAR ES SALAAM

7. KANDA ILALA
DAR METROPOLITAN
JACKSON KALIKUMTIMA
P.O.BOX 13022
DAR ES SALAAM

8. KANDA TEMEKE
BMP PROMOTIONS
BENNY KISAKA
P.O.BOX 78489
DAR ES SALAAM

9. KANDA YA CHUO KIKUU – UDSM
UDSM DARUSO
DICKSON MFUNGO
P.O. BOX. 35080
DAR ES SALAAM

10. OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA
CHUO KIKUU HURIA
ALBERT MEMBA
S. L. P. 23409 DAR ES SALAAM

11. KANDA YA ELIMU YA JUU
BM. ENTERTAINMENT
BASHIR KAMBARAGE
P . O . BOX 25458
DAR ES SALAAM



3. MAWAKALA WA WILAYA:

1. BAGAMOYO ASILIA DECOLATION
AWETU SALUM
P.O. BOX. 72690 DSM

2. KAHAMA MERRY ENTERTAINMENT
MERRY MESHA
P.O. BOX.
GEITA – MWANZA

3. KIBAHA RAPHIA BOUTIQE
RAPHIA A. KIMARO
P.O. BOX. KIBAHA - PWANI.

4. ARUSHA CITY CENTRE
SOPHY ENTERTAINMENT
SOPHIA URIO
P.O. BOX. 71833 DSM

5. IFAKARA JAMOS ENTERTAINMENT
LUSESHELO SIKANA
P . O . BOX 370
IFAKARA

6. MTWARA MJINI
SAFARI RADIO FM
HAROUN MAARIFA
P . O . BOX1121
MTWARA

7. LINDI MJINI
SAFARI RADIO FM
HAROUN MAARIFA
P . O . BOX1121
MTWARA


8. MUSOMA MJINI AGGY CLASSIC
AGNESS MATHEW
P . O . BOX
BUNDA - MUSOMA

9. BUNDA AGGY CLASSIC
AGNESS MATHEW
P . O . BOX
BUNDA - MUSOMA

10. MBEYA MANISPAA
MAMA NEEMA DECORATION
SARAH MTALEMWA

11. NJIRO TOUR VISUAL PROMOTION
UPENDO SIMWITA

12. SAKINA WEMA’S FASHION
 WEMA JOSEPH



4. MAWAKALA WA VITUO VYA DAR ES SALAAM

KINONDONI
1. DAR INDIAN OCEAN
STAR CLASSIC ENTERTAINMENT
STELLA KAHWA


2. SINZA
JACKIES BOUTIQUES
JJ

ILALA
3. TABATA
BOB ENTERTAINMENT
FRED OGOT

4. DAR CITY CENTRE
FETTY ENTERTAINMENT
FATMA ABDALLA


TEMEKE
5. CHANG’OMBE
KINGS PROMOTERS
TOM CHILALA

6. KURASINI
ZUM FASHION & ENTERTAINMENT
ZUWENA OMARI


5. MAWAKALA WA ELIMU YA JUU:

1. MZUMBE JIMMY ADVERTISING AGENCY
MZUMBE – MOROGORO
KHALEED MWAMBUNGU


2. DAR INTER COLLEGE.
KAPITO LETARZ ENTERTAINMENT
ANGELA MSANGI
VICKY KIMARO

3. MOROGORO HIGHER LEARNING
LANDLINE PRODUCTION CO. LTD
REVOCATUS FIVAWO

4. UDOM – DODOMA BETTER DAYZ C
DODOMA
EVANS EXAUDY
Posted by MROKI On Thursday, April 28, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo