Nafasi Ya Matangazo

April 21, 2011

 
 
 
Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Tabata 2011 wakiwa katika picha za pamoja katika pozi tofauti wakati wa mazoezi yao katika Ukumbi wa Dar West Park Tabata jijini Dar es Salaam. Warembo hawa wanachuana kuwania taji linaloshikiliwa na Miss Tabata 2010 Consolatha Lukosi.
Posted by MROKI On Thursday, April 21, 2011 1 comment

1 comment:

  1. Poa Mkubwa.

    Usitusahau tu wakubwa wenzio pale watakapokwenda kule JIRAF HOTELI tafadhali

    Big Up Mroki

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo