Mwenyekiti wa Taasisisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akimpatia zawadi Dean wa Chuo Kikuu cha AT STILL upande wa Shule ya afya ya meno na kinywa (Arizona School Of Dentistry and Oral Health kutoka A.T.Still University) huko Marekani Jack Dillenberg baada ya kuangalia shughuli mbalimbali shuleni hapo April19,2011. Wapili kutoka kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mwanaidi Sinare Maajar.
April 20, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment