Nafasi Ya Matangazo

April 20, 2011

 Mkuu wa Masoko, Mawasiliano wa Benki ya NBC, Bi. Mwinda Kiula-Mfugale (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 5 kwa Meneja wa Programs wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Pili Mtambalike
ikiwa ni kama zawadi kwa mshindi wa kitengo cha Mwandishi Bora wa Habari za Biashara na Uchumi katika Tuzo za Waandishi Bora zinazoandaliwa na MCT. Hafla ya utoaji tuzo hizo zitafanyika jijini Dar es Salaam Mei 3 mwaka huu. Makabidhiano yalifanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Ofisa Mwandamizi wa Program wa MCT Alfred Mbogora na Mshauri wa Mawasiliano wa NBC, Robi Matiko-Simba.
 Meneja wa Programs wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Pili Mtambalike (kushoto) akizungumza baada ya kupokea mfano wa hundi ya shs milioni 5 ikiwa ni kama zawadi kwa mshindi wa kitengo cha Mwandishi Bora wa Habari za Biashara na Uchumi katika Tuzo za Waandishi Bora zinazoandaliwa na MCT na Mkuu wa Masoko, Mawasiliano wa Benki ya NBC, Bi. Mwinda Kiula-Mfugale (kulia). Hafla ya utoaji tuzo hizo zitafanyika jijini Dar es Salaam Mei 3 mwaka huu. Makabidhiano yalifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Posted by MROKI On Wednesday, April 20, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo