Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw Tim Clarke wakati alipokwenda Ofisini kwa Mtaa wa Luthuli Mjni Dar es Salaam Kwa Mazungunzo kuhusu Masuala ya Miradi ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia nchi leo
0 comments:
Post a Comment