Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dk. Edward Hosea katikati, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Makamu wa Rais kufunguwa mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU katika Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU Dk. Edward Hosea akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, baada ya Makamu wa Rais kufunguwa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa Nchini TAKUKURU katika Hoeli ya Naura Spring mjini Arusha leo.
0 comments:
Post a Comment