Nafasi Ya Matangazo

January 09, 2011


 Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Cleopa David Msuya (CD) Januari 4, 2011 alitimiza miaka 80. Familia yake ilimwandalia tafrija yaa kumpongeza na kumtakia maisha Marefu na afya njema.
 CD akiwa na rafiki zake Christant Mzindakaya (kushoto) na Mzee Peter Kisumo.
 CD akijadili jambo na Mzee Peter Kisumo. Kisumo alitoa historia ya aina yake ya maisha ya CD katika tafrija hiyo na kuwavutia wageni wengi.
 Rais Jakaya Kikwete akizungumza jambo na CD pamoja na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wakti wa tafrija hiyo ya kumpongeza CD kutimiza mika 80.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakiwamo viongozi wa juu wa serikali waliohudhuria tafrija hiyo.
 CD akiongozwa na familia yake akikata keki ya kutimiza
miaka 80.
 Watoto na wajukuu wa CD wakishangilia kwa makofi na kuimba nyimbo ya Happy Birthday.
 Rais Jakaya Kikwete akigonganisha glasi na CD kumtakia heri na fanaka katika maisha yake.
 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na CD na familia yake.
Familia ya CD ikiwa katika picha ya pamoja baadaa ya tafrija hiyo.

Posted by MROKI On Sunday, January 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo