Nafasi Ya Matangazo

December 30, 2010

 Mabondia David Michael 'Zola D' (kushoto) na Swedy Willson 'Kiza Kinene, wakitunishiana misuri wakati wa zoezi la kupima uzito ikiwa ni maandalizi ya pambano lao la raundi tano la mchezo wa Mix Fighter, unaotarajia kufanyika kesho kwenye Ukumbi wa DDC Mlimani City Mwenge Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mawasiliano wa kampuni ya Aurola Security, Shomari Kimbau.
 Mabondia David Michael 'Zola D' na Swedy Willson 'Kiza Kinene, wakipima uzito ikiwa ni maandalizi ya pambano lao la raundi tano la mchezo wa Mix Fighter, unaotarajia kufanyika kesho kwenye Ukumbi wa DDC Mlimani City Mwenge Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mawasiliano wa kampuni ya Aurola Security, Shomari Kimbau.
Bondia wa uzito wa Midle, Francis Miyeyusho, akipima uzito kwa ajili ya pambano lake la raundi 6 na Fabian Lampard, katika mchezo wa unaotarajia kufanyika leo kwenye Ukumbi wa DDC Mlimani City Mwenge iki wa ni pambano la utangulizi kabla ya mpambano wa Mixi Fighter wa raundi 5 kati ya David Michael Mrope ‘Zola D’ na Swedy Willson ‘Kiza Kinene’.
Posted by MROKI On Thursday, December 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo