Nafasi Ya Matangazo

January 11, 2011

 Kivuko cha MV Serengeti kikipakia abiria, magari na mizigo katika gati ya Busisi.
 Eneo la kupumzikia abiria Busisi
 Kivuko cha MV Misungwi kikiwa kazini katika ziwa Victoria mkoni Mwanza.
 Eneo la Gati ya Sengerema inavyoonekana kwa mbali.
 Hii ndo gati ya Serengerema kwa karibu. Ukarabati unahitajika katika eneo hili ili kuepusha madhara yatakayoweza kutokea ikiwa ni pamoja na ajali.Pia panahitajika taa nyakati za usiku katika Gati hiyo.
Kivuko cha MV Sengerema kikishusha abiria katika gati ya Sengerema.
Posted by MROKI On Tuesday, January 11, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo