Nafasi Ya Matangazo

January 18, 2011

 Mkurugenzi wa NHIF kanda ya mashariki Bw. Raphael Mwamoto akiwapa nasaha na hongera ya mwaka mpya wafanyakazi wenzake katika ufukwe wa kijiji beach kigamboni
 Soka la ufukweni  si kwa wanaume,hata wa beijing siku hizi wamo Da Frida akituliza mpira kwa pozi la hali ya juu.Mfuko una mpango wa kumfanyia promosheni hili asajiliwe Twiga Stars.


 Mambo ya maakuli hayakupita mbali wafanyakazi wa Mfuko wakijinafasi kwa menu nzito baada ya kutumika kwa mwaka mzima wa 2010 na kuingiza nguvu mpya  kwa ajili ya mwaka 2011 pichani mdau victor mfamasia akiwakilisha vyema utaratibu huo.
Baada ya shibe watu waliamua kutunishiana misuli kwa kuvuta kamba baina ya timu ya wanawake na wanaume ambapo mpaka dakika ya mwisho afya club ya wanawake iliwashinda Pamoja club (wanaume)
Posted by MROKI On Tuesday, January 18, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo