Nafasi Ya Matangazo

January 18, 2011

 Afisa Mazingira Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Thomas Bwana, akitoa mada inayohusu viumbe na mimea ambayo vinasaba vyake vimefanyiwa mabadiliko ya kijenetiki GMO's katika siku ya pili ya warsha inayohusu matumizi salama ya Bioteknojia ya kisasa jijini Mwanza leo.
Picha ya Pamoja ya washriki ya Warsha ya siku mbili ya  Kanda ya Ziwa inayohusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa inayoratibiwa na Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais.
Posted by MROKI On Tuesday, January 18, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo