Nafasi Ya Matangazo

December 30, 2010

 Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee leo amezindua rasmi maji ya kunywa ya Chapa ya Jay Dee mbele ya wana habari pamoja na kuzungumzia mambo mbalimbali ya kazi yake ya mziki.
 Lady Jay Dee akiwa na marafiki zake waliohudhuria uzinduzi huo wa maji safi.
 Jay Dee akionesha maji hayo mbele ya waandishi wa habari(hawapo pichani) ambayo kwa sasa yatakuwa yakipatakana katika mgahawa wake ulipo Sinza pamoja na katika kumbi ambazo atakuwa akitoa burudani. Baadae maji hayo yataingia mtaani kuuzwa kama kawaida.
 Maji hayo kama yanavyoonekana....
 Wadau wakila pozi na chupa ya maji ya Jay Dee
Mume wa Lady Jay Dee, Gadna G Habash akiwa na Hadija Mwanamboka aliyeshika maji ya Jay Dee na Mwanaharakati Shy-Rose Banji wakati wa uzinduzi huo.
Posted by MROKI On Thursday, December 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo