Nafasi Ya Matangazo

December 12, 2010

 Mh Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Cyril Chami akipata maelezo ya Utendaji kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni Brela Bw Esteriano Mahingila.
 Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Cyril Chami akipolewa na uongozi wa Shirika la Viwango nchini TBS alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo Ubungo jijini Dar Es salaam. Hapa akilakiwa na Mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo Pfof Apollinaria Pereka na Mkurugenzi Mkuu Bw Charles Ikerege.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dky cyril Chami, akipewa maelezo kuhusu utendaji wa maabara za kukagua ubora na viwango vya bidhaa mbali mbali katika ziara yake ya kutembelea Shirika la Viwango nchini TBS mwishoni mwa wiki
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Cyril Chami katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Viwango nchini TBS mara baada ya ziara yake. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo Prof Apollinaria Pereka na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS Bw Charles Ikerege na Mkurugezi wa Masoko katika Wizara ya Viwanda na Biashara Bw Odilo Majengo. Waliosimama ni Wakurugenzi wa Idara mbali mbali za TBS.
Posted by MROKI On Sunday, December 12, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo