Nafasi Ya Matangazo

December 07, 2010

Wakati mvua jijini Dar es Salaam ndo kwanza zimebisha hodi usiku wa kuamkia leo, baadhi ya vituo vya dalada jijini hapa ni kama hivi na vingine ni hatari zaidi. Wahusika tusaidieni walau mvua zikinyesha tuweze kusubiri daladala.
Posted by MROKI On Tuesday, December 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo