Nafasi Ya Matangazo

December 13, 2010



Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Radhamani Khijjah (kushoto) akibadilishana hati ya mkopo wa shilingi bilioni 106 kutoka Serikali ya Japan kwa Tanzania jana jijini Dar es salaam na Kaimu Balozi wa Japan nchini Bw. Shuichiro Kawaguchi(kulia) . Mkopo huo unalenga kuwekeza katika mradi wa usafishaji wa umeme kutoka chanzo cha uzalishiaji huko mkoani Iringa kupitia mikoa ya Singida , Dodoma hadi Shinyanga. 
Posted by MROKI On Monday, December 13, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo