Nafasi Ya Matangazo

December 07, 2010

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango wa Zambia Mhe. David Phiri wakati Waziri huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanbia Mhe. David Phiri, wakati Waziri huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kufikisha ujumbe kutoka kwa Rais wa Zambia Mhe. Ruphia Banda.
Posted by MROKI On Tuesday, December 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo