Nafasi Ya Matangazo

December 07, 2010

 Marehemu Phoebe Lymo enzi za Uhali wake. Marehemu ameacha Mume na watoto wa 4, George(Kassim Kondo), Daniel, Onesmo na Anna Lymo.
 Ndugu wa marehemu wakiubeba mwili wa marehemu kutoka Hospitali ya Tifa Muhimbili katika Chumba cha Kuhifadhia maiti.

 Sanduku lililouhifadhi mwili wa Phoebe likiwa katika Kanisa Kuu la Sabato Magomeni wakati wa Misa maalum ya kumwombea heri marehemu.
 Mtoto wa mwisho wa Marehemu, Anna Lymo akisoma wasimu wa marehemu mama yake Kanisani hapo.
 Mume wa marehemu na baadhi ya watoto wa marehemu wakiwa kanisani hapo.
 Baba mdogo wa marehemu Mzee Kivunja akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu.
Watoto wa marehemu wakitoa heshima za mwisho kwa mwili mwili wa Marehemu mama yao Phoebe Onesmo Lymo muda mfupi kabla ya kuzikwa.
 Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Finela Mukandara akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu nyumbani kwao Ugweno Mwanga mkoani Kilimanjaro.
 Dk. Finela akitoa salamu za pole na kuwashukuru waombolezaji wote waliohudhuria msiba huo wa ndugu yake.
 Ugweno ni milimani hapa ni maiti ikishushwa kwenda kuzikwa.
 Tayari dada Phoebe anasubiri kushishwa katika nyumba yake hadi pale atakapopata ufufuo siku ya mwisho.
 Sanduku linashushwa kaburini.
 Mume wa marehemu Mzee Lymo akiweka shada la maua katika kaburi la mkewe.
 Watoto wakiwa katika kaburi la mama yao baada ya kumalizika kwa shughuli za maziko.Mungu ailaze roho ya marehema mahala pema milele Amina. Marehemu alifariki tarehe 1-12-2010 na kuzika Nyumbani kwao Ugweno-Msangeni Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro Jumamosi tarehe 4-12-2010.
Posted by MROKI On Tuesday, December 07, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Jamani Daniel na Lily Poleni sana kwa msiba mzito wa kumpoteza mama yenu Mzazi.

    Joyce - Beijing

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo