Nafasi Ya Matangazo

December 13, 2010

Mwenyekiti Mtendaji wa Klabu ya Makapera TSN,  Shedrack Sagati akiwa na Mkewe Cecilia Costantine baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa la Sabato Ubungo Hill jijini Dar es Salaam jana na kufuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Resort Sinza. Bwana harusi ni Mwandishi katika magazeti ya TSN(HabariLeo na Daily News) na Biharusi ni Mfanyakazi wa ODDSSEY International. 
Posted by MROKI On Monday, December 13, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo