Nafasi Ya Matangazo

December 13, 2010

 Nahodha wa Timu ya Taifa Tanzania Bara(Kili Stars) Shadrack Nsajigwa akimkabidhi Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete Kombe la Chalenji,ikulu jijini Dar es Salaam leo baada ya timu hiyo kuibuka Bingwa wa michuano ya Chalenji jana.Rais Kikwete aliialika timu hiyo ikulu kuipongeza.Pemebni ya Rais ni Mkewe Mama Salma Kikwete na Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Dr.Emmanuel Nchimbi.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kikosi kizima cha  Timu ya Kili Stars Ikulu jijini Dar es Salam leo Desemba 13,2010.Kilimanjaro Stars iliifunga Ivory Coast 1-0 katika fainali hizo.
Posted by MROKI On Monday, December 13, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo