Nafasi Ya Matangazo

December 13, 2010

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Spika  wa Bunge la Ethiopia, Bw.  Kassa Berihan baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege  wa  Kimataifa wa Addis Ababa Bole Desemba  12, 2010  ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete  katika Mkutanowa kujadili Mfumo wa serikali za Shirikisho unaoanza Novemba 13, 2010  katika Mjini wa Addis Ababa.
Waziri Mkuu, MizengoPinda na Mkewe Tunu (katikati) wakiongozwa   na Spika wa Bunge la Ethiopia, Bw. Kassa Berhan baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa  Kimataifa wa  Addis Ababa Bole Desemba 12, 2010. kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye mkutano wa Kimataifa wa kujadili mfumo wa serikali za Shirikisho unaotarajiwa kuanza Desemba 13, 2010.
Posted by MROKI On Monday, December 13, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo