Nafasi Ya Matangazo

December 17, 2010

 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu, akipewa maelezo ya hali halisi ya mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka uliopo Mbinga mkoani Ruvuma. Wanaotoa Maelekezo ni waratibu wa Mradi huo.
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh  LazaroNyalandu akikagua mojawapo ya maeneo ambapo utafiti unaendelea kufanyika kuhusu upatikanaji wa makaa yamawe katika eneo la Ngaka, Mbinga, Ruvuma. Wengine ni  maafisa kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa NDC, watafiti na waandishi wa Habari.
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh  LazaroNyalandu akikagua mojawapo ya maeneo ambapo utafiti unaendelea kufanyika kuhusu upatikanaji wa makaa yam awe katika eneo la Ngaka, Mbinga, Ruvuma. Wengine ni  maafisa kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa NDC, watafiti na waandishi wa Habari.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akipewa maelezo na wataalamu kuhusu upatikanaji wa makaa ya mawe na uwezekano wa kuzalisha nishati ya umeme katika eneo la Ngaka, Wilayani Mbinga, Mkoani Ruvuma.
Posted by MROKI On Friday, December 17, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo