Nafasi Ya Matangazo

December 14, 2010

 Mkurugenzi wa Kampuni ya ALTAF AND COMPANY Bw, Zulfqal Ali (kushoto) akimvisha
shada la mauwa Katibu Mkuu wa CCM Bw. Yusufu Makamba alipotembelea Tabata Dar es salaam jana
kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya kiwanda hicho kilichotoa msada mkubwa wakati wa kampeni za CCM

  Makamba akilakiwa na mwenyeji wake.

 Katibu Mkuu wa CCM Bw. Yusufu Makamba akiangalia nondo wakati alipotembelea kiwanda cha nondo kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya ALTAF AND COMPANY Bw, Zulfqal Ali Tabata Dar essalaam jana kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya kiwanda hicho kilichotoa msada mkubwa wakati wa kampeni za CCM
Makamba akiangalia mashine za kutengenezea Nondo katika kiwanda hicho.
Posted by MROKI On Tuesday, December 14, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo