Nafasi Ya Matangazo

December 14, 2010

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto.Sophia Simba(kushoto) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam juu ya Mkutano wa Kimataifa wa Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya maendeleo ya wanawake na jinsia katika Nchi wanachama wa Ukanda wa maziwa makuu unaorajia kuanza tarehe 16 hadi 18 Mwezi huu mjini Arusha. Mkutano huo utafunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na kufungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt Ali Mohamed Shein. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Clement Mshana.
Posted by MROKI On Tuesday, December 14, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo