Wastaafu wa iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mahsriki ( EAC) leo waliamua kulala barabarani katika barabara ya Kivukoni mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania mara baada ya hukumu ya kesi yao kushindwa kutolewa uamuzi leo kutokana na Jaji aliyekuwa akiiendesha kesi hiyo kudaiwa kujitoa.Wazee hao walichanganyika na warithi wao pamoja na wajukuu zao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment