Dk. Shein akisalimiana na watoto na wakazi wa Zanzibar katika moja ya mikatato yake ya kuwania Urais wa Kisiwa hicho.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasikiliza Watoto kijiji cha Chumbuni, wakati alipotembelea Viongozi wa CCM wa Jimbo hilo kwa ajili ya kuwahutubia mkutano wa kampeni leo. Wana CCM wqakishangilia
Wapenzi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitoa sera za kiutendaji wa Chama hicho kitakapoingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mwishoni mwa Mwezi huu, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa Urafiki Wilaya ya Mjini Zanzibar.




0 comments:
Post a Comment