Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiwa na Mwenyekiti wa bodi ya Bank M Nimrod Mkono wakifurahi pamojabaada ya kumaliza Mbio za hisani zijulikanazo kama Rotary Dar Marathon jijini leo. Mbio hizo zinataraji kukusanya zaidi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya miradi ya maji katika mashule na hospitali mbalimbali.
Juu:Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiwa ongoza baadhi ya washiriki wa mbio hizo. Chini: Ofisa wa Bank M akipeperusha bendera ya bank hiyo.
Wanafunzi nao waliunga mkono mbio hizo.
Vodacom walidhamini mbio hizi na kuandaa mabango kwa shule zote za Dar es Salaam.
Wadau hawa wao walishiriki na watoto wao pamoja na mifugo yao.




0 comments:
Post a Comment