Kocha wa zamani wa Simba, Talib Hilal akiwa katika picha ya pamoja na Makocha wanaohudhuria kozi Maalum ya makocha wa mpira wa ufukweni, iliyoandaliwa na FIFA , na kufanyika Aden, Yemen.
Hilal kushoto akitoa mafunzo kwa makocha hao.
Hilal akiwa ufukweni na makocha hao kutoa mafunzo ya vitendo.
Hilal akiwa darasani mbele akifundisha kwa nadharia.
0 comments:
Post a Comment