Nafasi Ya Matangazo

October 22, 2010



Zikiwa simesalia siku chahe kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani hapo Oktoba 31, 2010, Jeshi la Polisi linadaiwa kumkamata mgombea wa Chadema John Shibuda kutokana na afuasi wake kudaiwa kumpiga mpaka msababishia kifo dreva wa gari la mgombea wa
CCM Robert Simon Kisena wote wa jimbo la Maswa Magharibi.

Tunafualia zaidi kwani habari zineeleza kuwa mbali na shibuda watu wengine 10 wanashikiliwa na polisi huku ikielezwa kuwa mgombea wa CCM naye anasakwa na polisi kwa kumpiga OCD wa kituo cha Maswa akimtuhumu kuwapendelea wapinzani ambao anadai kuwa wamemuua dreva wake.

Posted by MROKI On Friday, October 22, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo