Nafasi Ya Matangazo

October 22, 2010

 Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha lamadi Wilaya ya Busega, wakati alipopokelwa mpakani mwa Mkoa wa Mara na Mwanza leo.
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Wialaya ya Busega wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Nyamikoma kufanya mkutano wa kampeni leo.
Posted by MROKI On Friday, October 22, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo