Kama kuna vibweka viliwahi kutokea hapa duniani vya mastaa wa majuu basi hilki nacho kitakuwa ni kimoja wapo na hakika kila mtu atakubaliana nami kuwa kwa mwaka huu 2010 hii ni kali ya mwaka ambayo haijawahi tokea. Huyu ni Mwanamuziki Lady Gaga akiwa katika kivazi ambacho kimetengenezwa kwa nyama (steki) kuanzia kofia hadi viatu.
Hapa ni katika tuzo za MTV ambao alitwaa Tuzo ya Video bora.Kazi kwenu wabunifu wa Tanzania.











mh kwani huyu akili zake huwa zinamtosha?sipati picha ananukaje nyama mwili mzima
ReplyDeleteHii sasa ni kufuru kwa chakula na Mwenyezi Mungu Jamani.
ReplyDeleteKhaah!