Nafasi Ya Matangazo

October 14, 2010

 Wadau wa Blogu hii ambao ni watumishi wa Vodacom Tanzanzia ndio picha yao imebahatika kuwa ingizo la 2001 tangu kuanza kwenda hewani kwa blogu hii. Kulia ni Moses Krom na Richard Mlekwa wakipozi nje ya VODADUKA Tegeta.
Wateja wakipata huduma ya M PESA katika VODADUKA ililopo Tegeta Dar es Salaam ambalo wadau Rich na Moses walilitembelea leo.
Posted by MROKI On Thursday, October 14, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo