Vodacom Miss Tanzania akiwa uwanja wa ndege wa Kimataiufa wa Mwl.Julius Nyerere Dar es Salaam kabla ya kuondoka Septemba 30,2010.
Akiwa katika picha ya pamoja na wanaafamilia yake uwanjani hapo.
Genevieve akiwa na kaka yake Dustan (kushoto) na mdogo wake Brian walipomsindiikiza.
Miss Tanzania akiangalia moja ya picha zake za tafrija ya kumuagaa iliyochapishwa katia gazeti la kila siku la Daily News. Kulia ni Mama yake na katikati ni Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzaania, Oscar Makoye.




0 comments:
Post a Comment