Nafasi Ya Matangazo

October 25, 2010

"Tulikupenda sana wanadamu lakini Mungu amekupenda zaidi hata akaamua akuite mapema na haraka"

Marehemu Cecilia alifariki Jumamosi alfajiri baada ya kuugua ghafla usiku wa siku hiyo na kuzikwa Jumatatu Oktoba 25,2010 katika Makaburi ya familia, Kimara Suka kwa Mzee Mdendu. Marehemu ameacha Mume, watoto wawili, ndugu, jamaa na marafiki.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe AMINA.
Posted by MROKI On Monday, October 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo