Nafasi Ya Matangazo

October 13, 2010

Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akijibu swali wakati walipokutana na wanahabari kwa kutangaza rasmi kwa kuandaa mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza cycle challenge 2010 zitakazofanyika hivi karibuni jijini Mwanza,kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Baiskleli nchini Nadhiri Manji.
Meneja Udhamini na Matukio wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa (kushoto) Mkuu wa Udhamini wa Vodacom George Rwehumbiza,Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli nchini Nadhiri Manji, wakionyesha bango la kuashiria uzinduzi wa mbio hizo za baiskeli za Vodacom Mawanza Cycle Chalenge 2010 zitakazofanyika mwezi ujao jijini Mwanza.
Posted by MROKI On Wednesday, October 13, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo