Akinamama wakiwa wamevalia nguo maalum za heshima kwa wanawake wa mwambo wa pwani.
Wakazi wa Zanzibar wakichagua kofia aina ya kibandiko au Kibagalashia ambavyo zaidi huvaliwa na watu wa mwambao wa pwani na kule Bukoba lakini pia ni Kofia maalum ya kuswalia kwa waumini ya dini ya Kiislam.
Mchuuzi akizipanga vyema kofia zake kusubiri wateja wengine.
0 comments:
Post a Comment