Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani AbeidKarume,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Msingi wa Mradi wa Utanuzi wabarabara ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar jana huko Kiembesamaki Njeya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani AbeidKarume,akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Utanuzi wa Brabara ya Uwanjawa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar jana.
Posted by MROKI
On Thursday, August 05, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment