Nafasi Ya Matangazo

August 05, 2010

Askari wa Wilaya ya Muleba wakiwa wamejipanga katika mtindo wa kuhami Kituo wakati wanaonyesha zoezi hilo kwa Kamishna wa Operesheni, Paul Chagonja katika ziara ya ukaguzi wa maeneo mbalimbali ya Polisi Mkoani Kagera.
Kamishna wa Operesheni, Paul Chagonja akisalimiana na wanakijiji wa Kagoma
Kamisha Chagonja akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kagoma, Wilayani Muleba, Mkoani Kagera ikiwa ni sehemu ya kuhamasiha Ulinzi Shirikishi vijijini.

Posted by MROKI On Thursday, August 05, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo