Nafasi Ya Matangazo

August 02, 2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani AbeidKarume,akikabidhi kitambulisho cha upigaji wa kura kwa karani No 1 Asha MustafaAbdalla,katika kituo cha upigaji wa kura ya maoni cha Skuli ya MsingiKiembesamaki jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani AbeidKarume,akitumbukiza kura yake,katika kituo cha kupigia kura ya Maoni, yakuwezesha Uundwaji Serikali ya Kitaifa ya Zanzibar,katika Skuli ya Msingi yaKiembesamaki Wilaya Magharibi jana,Uundwaji wa Serikali hiyo ya Kitaifa ni baadaya Uchaguzi Mkuu ujao wa mwezi Octoba mwaka 2010.
Posted by MROKI On Monday, August 02, 2010 1 comment

1 comment:

  1. KionaMbaliAugust 04, 2010

    We Mroki wacha kutufunga kamba bwana.

    Una hakika gani kama alipiga kura ya ndio wakati kura ni ya siri?

    Labda mdomoni akisema ya ndio lakini rohoni ni kura ya hapana na ndio aliyopiga we utajuaje?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo