Maharusi Musa Katonya na Anande Munuo wakiwakatika nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa la KKKT Usharika wa Ukonga Dar es Salaam hivi karibuni na baade katika tafrija iliyofanyika katika Ukumbi wa Malaika Msasani. Bwana Harusi ni Mfanyakzi wa Engeneer wa kampuni ya Fiber Communication na Biharusi ni mfanyakzi wa Ofisi Elekezi ya Rais.
Maharusi katika picha ya pamoja na wasimamizi wao baada ya kutoka Kanisani.
Posted by MROKI
On Tuesday, August 03, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment