Nafasi Ya Matangazo

August 03, 2010

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Oliver Mhaiki akitangaza kwa waandishi wa habari juu ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano wa 49 wa mwaka wa Umoja wa Mashauriano ya Kisheria baina ya Nchi za Asia na Afrika(AALCO) unatarajiwa kuanza tarehe 5.08.2010 hadi 8.08.2010 mjini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Oliver Mhaiki (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Katiba na Haki za Binadamu kutoka Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Mathew Mwaimu.
Posted by MROKI On Tuesday, August 03, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo