
Katika Kuendeleza Kilimo Kwanza nchini pia wakulima hawa ambao ni wavuvi pia nao wanapaswa kukumbukwa na kupewa nyenzo za kuwawezesha kuvua samaki wanaokidhi haja na mahitaji. Pichani ni Mmoja wa wavuvi wa mjini Unghuja Kisiwani Zanzibar akitoka kuvua baharini hivi karibuni akiwa na samaki wake mkononi ambao alidai kuwauza kwa sh. 70,000/=.
Posted by MROKI
On Tuesday, August 03, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment