Mgombea mwenza wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt Mohammed Gharib Bilal akiongea na wananchi na wanachama wa CCM leo mara baada ya Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt Jakaya Kikwete kuchukua fomu ya Urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt Jakaya Kikwete akiwaonyesha fomu ya kugombea Urais wanachama mbalimbali waliojitokea mara baada ya kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo jijini Dar es salaam. Picha no 8. Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi mara baada ya kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu ya Urais leo jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt Jakaya Kikwete(katikati) akishirikiana na wanachama na viongozi mbalimbali wa CCM kuimba nyimbo mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi leo wakati wa kuchukua fomu tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam ambao pia ni wanachama wa CCM wakielekea zilipo ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumsindikiza mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Kikwete kuchukua fomu leo jijini Dar es salaam.







Watanzania lini tutabadilika? hivi utamwitaje Kikwete Dr? Watanzania tujifunze kutumia titles stahili. Unafiki tuweke pembeni. Sidhani kama watu wanaelewa dhana halisi ya mtu kupewa title hi ya Dr. !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete