Huyo ni Romario akiongoza safu ya uhambuliaji ya Msondo Ngoma wakati wa tamasha la wanafamilia wa Kampuni ya Sigara Tanzania TCC katika viwanja vya Sigara Chang'ombe Dar es Salaam Julai 10 2010.wafanyakazi wa idara mbalimbali katika kampuni hiyo walijumuika na familia zao siku hiyo na kupongezana na kufahamiana. Msondo walitisha sana katika tamasha hilo.
Wafanyakazi wa kijimwaga na mziki wa Msondo.
Misosi ilikuwa ni ya uhakika na watu walikula na kusaza.
Mshindi wa tuzo tatu za Kili Music Award 2010 Diamond aliburudisha vyema katika Viwanja vya Sigara Chang'ombe siku hiyo.
watoto pia walifukuza kuku na shangwe zilikuwa kwa...
...mtoto huyu wa mmoja wa wafanyakazi ambaye ni Mzungu namna alivyo kula sahani moja na kuku wa kienyeji lakini bahati haikuwa yake.
Mdendu akicheza Pool wawa Tamasha hilo
Mbio za magunia zilikuwepo.
Vijana wa Masoko walivutana kamba lakini bahati haikuwa yao Uzalishaji walishinda.
Watoto wana TCC walifurahi kwa kuchorwa michoro ya aina mbalimbali usoni.a
michezo kama hii pia ilikuwepo kwaajili ya watoto katika siku ya Familia ya wafanyakzi wa Kiwanda cha Sigara TCC.
0 comments:
Post a Comment