Nafasi Ya Matangazo

July 12, 2010


Kijana Mkazi wa Kijiji cha Kipera Wilayani Mvomero mkoa wa Morogoro akiwa amepakia matenga ya nyanya katika pikipiki akiyapeleka sokoni kutoka shamba. Msimu wa mavuno wa zao la nyanya ambalo ni la biashara kwa wakazi wa Kipeara na vitongoji vyake umewadia lakini bei ya tenga moja la nyanya kama lililopakiwa katika pikipiki ni sh 3,000/= jambo ambalo bado linaumiza wakulima.
Posted by MROKI On Monday, July 12, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo